Popular Posts

Monday, December 16, 2019

UMEJIANDAAJE NA KUJA KWAKE BWANA MARA PILI/ARE YOU PREPARED?

Part 2

Matayo:24.38

Kwa kuwa kama vile siku zile zilizokuwa kabla ya Gharika watu walivyokuwa wakila, na kunywa, wakioa na kuolewa, hata siku ile aliyoingia Nuhu katika safina, 
Matayo:24.39
 wasitambue , hata Gharika ikaja , ikawachukua wote, ndivyo kutakavyokuwa kuja kwake Mwana wa Adamu .

Ukitazama maandiko haya utagundua kwamba kuna Mambo Hawa watu walikuwa wakiyaishi

Yaan walikuwa wakiendelea na shughuli za kawaida za kila siku kias ambacho kwa akili ya kibinadamu isingekuwa rahis kumuelewa Nuhu anaongelea nn anaposema kutakuwa gharika ya maji

Ndvyo tulivyo hata leo hii mifumo ya maisha na Mambo kadhaa yanatufanya tuone Kama kile kilichoandikwa hakina uhalisia ivi

Nkukumbushe tu Bible iliandikwa huku waliondika wakiongozwa na Roho kila neno ndani yake limethibitishwa n kweli na n halisi halijachakachuliwa

Hakuna swala la labda au pengine akisema ipo hivi anamanisha

Angalia namm maandiko haya

Marko:4.4
ikawa alipokuwa akipanda, mbegu nyingine ilianguka kando ya njia, wakaja ndege wakaila. 
Marko:4.5
Nyingine ikaanguka penye mwamba, pasipokuwa na udongo mwingi; mara ikaota kwa kuwa na udongo haba; 
Marko:4.6
hata jua lilipozuka iliungua, na kwa kuwa haina mizizi ikanyauka. 
Marko:4.7
 *Nyingine ikaanguka penye miiba; ile miiba ikamea ikaisonga, isizae matunda* .

 Wasomao maandiko watakubaliana na mm kwamba *mbegu* anayozungumzia hapa n neno la Mungu
 Nataka tuitazame mbegu hii ya kwenye miiba
 Utagundua kwamba mbegu hii au neno la Mungu linapoingia ndani ya mtu lengo kuu n kuzaa matunda Kama utakatifu kutambua majira na nyakati nk nk

Lakn nn kinatokea shetani haliondoi neno ndan ya moyo huu

Anapandikiza miiba(shuguli za kila siku za dunian hapa)

Unasema kivipi

Anakupa mishe za kufanya na unaona kabisa zitakufanya umake more money utaona kama umetoboa life mwanangu alafu hakupi muda wa kulitafakari na kulichakata neno lililoingia ndani mwako

Unajikuta ile kanuni isemayo neno likae kwa wingi ndani mwenu imegonga mwamba

Umejaza shughuli kwa wingi ndan mwako

 Unasema kesho nkitulia ntasoma na kutafakar neno

Inakuwa kesho kutwa ntaomba na kuomba

Inakuwa wiki mwezi hatimaye ndo mfumo wa maisha yako ya kila siku

 Kumbuka Yesu anarud atakuta kilaa mtu anaendlea na shughuli aliyokiwa nayo ya kila siku

 Wala hakutakuwa tangazo redion au mtandaon nooo!

Anasema wawili walikuwa wanalima mmoja anatwaliwa mwingine kabak

Wengine wanachati mmoja katwaliwa mwngne kabak anachat 

 Angalia sasa baada ya muda unajikuta umeporomoka na tuhela twako twa njaa kwa sababu msingi wake haukua kwa Madhabahu ya Bwana

Ko unajikuta umeanza kurud kwa Bwana kuomba kusoma neno sio kwa sababu unataka kumjua hapana kwa sababu unataka business zake zikae sawa unatka upate pesa tena

Mungu sio mganga tumpe heshima yake tafadhali

Angalia watu Hawa kipind cha nuhu akili zao zilikuwa zmefungwa mioyo yao inawaza kuoa kuolewa(shuguli za kawaida za kila siku) lkn muda huo huo Nuhu na watu wake alikuwa akiandaa safina juu ya hatari ijayo

Maandiko yana maana kubwa Sana kusema Wala msifuatishe namna ya dunia hii

Aliyezaliwa na Mungu ratiba zake maijra yake n tofauti kabisa na za watu wa dunian humu Kama ulikuwa hujui

MUDA wako unatakiwa kutumika kikamilifu kuandaa kesho ya kutisha ijayo

Hata Kama huwa haumin lakn umewah hata kufikria umeachwa wakat wengine wananyakuliwa

Alafu unaisubr jehanam ya Moto wa milele umewah kufikria ??

Ratiba za watu wengine ilikuwa n majira ya kuoa na kuolewa n muda was kunywa na kulewa lakn kwa Nuhu ulikuwa n muda wa kuandaa safina kutengeneza moyo sawa na agizo la Bwana

 Nikwambie tu kwamba kuna namna ambavyo akili zinapumbazwa na ibilisi tusione mapenzi na makusudi ya Mungu juu yetu hasa katika nyakati hizi za hatari

 Hata Kama mwisho utakuja miaka efu5 ijayo nnachojua n kitu kimoja mwisho was Mambo yote umekarbia iweni na akali kutengeneza mahusino yenu na Bwana kwa kuomba na kukeshaaa

2 Timotheo:2.26
 ```wapate tena fahamu zao, na kutoka katika mtego wa Ibilisi, ambao hao wametegwa naye, hata kuyafanya mapenzi yake. 
```
Maana yake n kwamba hawa watu mwanzon walikuwa na ufahamu wa neno la Mungu

Akaja shetan akaziondoa fahamu ndan mwao kwa kuachilia shuguli za dunian hapa za kawaida

Na nataka uelewe nlikuwa sielew maana yake hapa siku moja brothe angu akaanza kunipa akili

 Akasema shughuli anazozungumzia hapa Wala sio dhambi
Kwan n dhambi kufanya bishara ?
Kuoa?
 Kuolewa?
 No!

Tatzo liko hapa pale inapokuwa ya kwamba shughuli hizo zinaisonga mbegu aliyopanda mpanzi
Shughuli hizo zinachukua nafasi ya mbegu ndan mwako

Anasema hata gharika muda inakuja hawakuelewa kwa sababu walikuwa busy na shughuli zao
 *Sikilza ndugu angu!*

*Ishara namba moja ya kwamba umevamiwa na mdudu huyu hatari n kukosa Nguvu ya maombi*
Hiii ndo ishara kuu

Usirdhike na unavyosoma neno Kama gazeti
Usiridhke na unavyohubr
Au kufundsha

Kila mtu anaweza kufanya hvyo kwa sababu n Kaz nyepes Sana

 Ila *kuomba* si jambo la mchezo mchezo hiii inahitaji *kujisucrife* !

 Kama wewe siku izi kuomba n mpaka mkutane kwenye kundi ukiwa mwenyewe unaona huwezi kuna tatzo hapo

Unaona ukianza tu baba unakumbuka haujakula, hujafanya assignment wanafunzi kuna tatzo hapo

Mdudu kashaingia

Kuomba kunahitaj kujitoa

Kutokuomba nako n kujitoa kwa sababu Kuna saut kabisa inakusistiza uombe unakaza tu

Listen carefully

 Maombi ndio jambo pekee ambalo shetan hataman kulisikia kutoka kwako

 Atakuacha usome neno ila utakuwa unasoma Kama philisopher tuuy Nguvu ya neno inaonekana kwa mtu anaayeomba
 Tena si kuomba tu nazungmzia maombi serious
 Kila siku
 Kila m
Na si I'll uwe upako wa kutoa mapepo uanze kuji mwambafai noo

Maombi ya kukusogeza mbele za BWANA kuhusiana nae
 Kuwa na ushirika nae
 1 Petro:4.7
Lakini *mwisho wa mambo yote umekaribia* ; basi, *iweni na akili* , *mkeshe katika sala* .

 Tazama kwa makini hapa

Iweni na akili maarifa ya neno
 ```Baada ya hapo kesheni(kaeni hapo muda wote) mkiomba(sala)``
Mm sjui Kama Kuna mtu naongea nae apa

Sikiliza maombi ndiyo yanaweza kueleza afya ya roho yako kwa usahihi

Ukiona huna hamu ya kuomba huna muda wa kuomba huon ulazima wa kuomba that is a problem already 

Na shetan alivyo hana akili atakuruhusu uchati had da8 ucku, uchek movie had sa9 ucku ila sio kuomba dakiki10 utaziona n sawa na masaa12 waswahili wansema Kama yote aN

 *Are you prepared??*

Angalia Sana muenendo wako wa  maombi chunga Sana

Ucjifarij na clip unackilza unaanza kusikia kama upako alafu bado hushuki kupiga got kuomba that's a problem

*Guys praying is must*
Anza kuomb

 Anza Kula neno kila siku Bila kujali ratba zimekaaje
Hakikisha unapata muda unaomba unakula neno la uzima

 Weka utaratbu usome hata sura1 *tuuu* ! Kwa siku
 Kabla haujalala tafakari uliyoyasoma yachakate kwa kina hata kama yatakufanya hadi upate usingiz

The moment umeanza kuomba kusoma neno comes a time majira yako unayaelewa unaamka asubuh unajua hata Bwana akishuka hapa Nina uhakika wapi ninaendaa!

Na hakuna kitu shetan atafanya vita nawewe kama kukufanya usipate muda kuomba kufakar uliyoyasoma

Kwan semina si umehudhuria nyingi tuuy

 Ukatubu na kutubu ukalia ana kulia ukasema Bwana naanza upya naanza upya naww still ukarud kule kule

*Be serious now!*
*We don't have very much longer 

 Hakikisha Moto wa kuomba haukakitik ndani mwako

Haijalishi mazngra lazma upate muda wa kuomba
 Walawi:6.13
 *Moto utatunzwa uwake juu ya madhabahu daima; usizimike* .

 Kama tunaweza kupata watu hata watano tu ndani ya kila kanisa ambao wapo serious kuomba ndani ya mwezi mmoja shetan atageuzwa juu chini kabisa nakuambia

Kama unataka uanze kuona Nguvu ya maombi anza leo kuimba ukiwa hapo hapo unapolala Kama mazngra hayakuruhusu nenda pembeni kidogo mwambie Mungu kwa moyo wa dhati kabisa kuwa Mungu mm unajua kabisa nilivykuwa mvivu kuomba Sasa nimeamua kuanza Tena kwa kishindo nitumie kumanifest ukuu wako nitumie kuelezea ukuu wako anza kuomba na kuomba hata unapotembea sema kimoyo moyo

 Come ON! No sooner as you go on with these prayer something will be ready happening to you!

Hakuna mkato njia pekee ya kujifunza kuomba n kuomba

No comments: