Popular Posts

Saturday, December 28, 2019

UKWELI KUHUSU NENO LA MUNGU


Bwana Yesu asifiwe sana  lengo la somo hili Ni kukufanya uone Siri iliyomo ndani ya Neno la Mungu ili kwa Siri hizo uweze kutembea na Mungu kwa viwango vikubwa zaidi

Yohana:1.1
Hapo mwanzo kulikuwako Neno , naye Neno alikuwako kwa Mungu, naye Neno alikuwa Mungu.
Yohana:1.2
Huyo mwanzo alikuwako kwa Mungu.
Yohana:1.3
Vyote vilifanyika kwa huyo ; wala pasipo yeye hakikufanyika cho chote kilichofanyika .
Yohana:1.4
Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima, nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu .
Yohana:1.5
Nayo nuru yang'aa gizani, wala giza halikuiweza

```Ukianza kusoma maandiko haya matakatifu utaanza kugundua Siri nyingi Sana kuhusu neno la Mungu```

Ansema mwanzo yaan b4 all or at the beginning of everything the word exists

Si hvyo tu huyo neno alikuwa kwa Mungu na alkuwa Mungu mwenyewe


Kuna mtu hajaelewa
Ngoja nkupe mfano kidogo

 mwanzoni (in the beginning)  palikuwa na wazo nalo wazo lilikuwa kwa Elikado nalo wazo ndilo Elikado(yaani ndilo linamtafsir Elikado n nan) 

Anaposema Neno alikuwa Mungu maana yake there is no way unaweza kutofautisha kati Ya Mungu na huyo neno

Ukiendeleabele mbele kidogo utaona anasema bila ya neno hakuna kilichopo leo na muonekano wake ambacho kiliweza kufanyika pasipo yeye
Na si hivyo tu anasema pia ndani yake Kuna uzima(life) na si tu uzima au maisha ya kawaida noon maisha ambayo tafsiri yake ni Nuru ya watu

Na kikubwa zaidi juu ya ya hiyo nuru anasema ina uwezo wa kung'aa gizan kwa kiwango ambacho giza haliwezi kui0vercome kwa namna iwayo yote ile

It is a supernatural light
Biblia inasema wewe uliyebeba neno kwa kuokolewa na kutengwa na maovu yako ni nuru ya ulimwengu ana maana ulimwengu woote unaweza kumulikwa na nuru itokayo ndani mwako
sasa hasemi neno lililopo ndani yako ndyo Nuru ya ulimwengu hapana wewe mwenyewe ndye Nuru ya ulimwengu

Maana yake nini
Ni Kama anataka kutumbia ya kwamba unajazwa neno la kristo kiasi ambacho unakuwa huna tofauti na neno n kwamba unakuwa n neno lenyewe

Yaan watu wakilichek neno wakikuchek wewe hawawezi kuona toafut


Turud kwenye msingi wa neno letu la leo
Sasa biblia inasema kwamba sisi n mashihid was kushuhudia kile neno la Mungu linasema
Na Jambo la kukumbuka hapa ni hili
Waebrania:4.12
Maana Neno la Mungu li hai, tena lina nguvu, tena lina ukali kuliko upanga uwao wote ukatao kuwili, tena lachoma hata kuzigawanya nafsi na roho, na viungo na mafuta yaliyomo ndani yake; tena li jepesi kuyatambua mawazo na makusudi ya moyo.


Neno li hai yaani linaishi
Kwa maana kwamba linaweza kuperform linachokisema

Natena Lina Nguvu ya kuperform kile linachokisema

Lina uwezo huo yaani kile linakisema kimo ndani ya uwezo wake wali halitafuti sifa ni Jambo ndani ya uwezo wake kabisa

Na likianza kutenda kazi au kuperform kile limesema n Zaid ya upanga mkali ukatao pande zake zote mbili n Kama anasema Lina tenda zaidi ya silaha au nyenzo zozote zenye uwezo za kimwili zinaweza tendA

Na baada ya perfrom lilichokisema matokeo yanaonekana= kuzigawanya nafsi na roho na viungo vyote

Na matokeo yake yanakuwa n extra ordinary kwa sababu linazaa matokeo ambayo kwa namna ya kibinadamu haiwezekani kabisa
Sasa Kama neno Lina jitosheleza kias hicho Kaz ya shahidi mimi na wewe n nini
???

Kazi ya shahidi kamwe sio kuamua kesi

Kazi yake huwa n kuthibitisha Kama kniachosemwa n kweli
Sasa tunathibitishaje kuwa neno Lina uwezo huo Kama mashahidi

Zekaria4.6 Akajibuakaniambia, akisema, Hili ndilo neno la Bwana kwa Zerubabeli, kusema, Si kwa uwezo, wala si kwa nguvu, bali ni kwa roho yangu, asema Bwana wa majeshi .

Yaaani n kwa Roho yake Bwana Mungu tunaweza kuthibitisha hilo neno linasema

Lakin piah neno hili la Mungu Lina uajabu wake kidogo
Yohana:6.63
Roho ndiyo itiayo uzima, mwili haufai kitu; maneno hayo niliyowaambia ni roho, tena ni uzima.
Utaona ya kwamba kwa mujibu wa yohana anasema ndani yake neno ndimo ulimokuwamo uzima

```Lakni hapa anatuambia ya kwamba Roho ndiyo inauchukua uzima uliomo ndani ya neno na kuuinsert ndani mwako!```
```Swali langu linakuja kwako uzima huo ndani mwako unaoletwa ne neno unawezaje kuwa Nuru ya watu??```

Kumbuka hili
Yohana:1.4
Ndani yake ndimo ulimokuwa uzima , nao ule uzima ulikuwa nuru ya watu .

Maana yake nn
N kwamba neno Lina ndan yake
Ukilitazama kwa nje nje n vgumu Sana ukagundua kama Lina uzima ambao unaweza kuwa Nuru kwa watu wengine

Kwa maana hiyo basi Kuna namna tunahitaju hekima ya kutusaidia kutazama kwa undani na kwa kina kutambua neno la Mungu ili litusaidie kutambua uzima au kwa lugha nyepesi life

Na maisha hayo yanaanza kuachilia nuru
Nuru maana yake ninu
Nuru Ni direction inayoleta uwezo wa kufanya mambo kwa usahihi
Yaani unafanya huku unaona
Hauendi kigiza giza
Unajua unakoelekea

Tazama Kuna namna ambavyo watu wa mataifa Wana uwezo wa kuhukumu makosa ya watu wengine kwenye jamii zao kupitia mifumo ya maisha ya watu waliopo juu ya hilo eneo
kuna mtu hajanielewa

Maana yangu ni kwamba maisha yako wakiyaona watasema kweli wewe n mtu wa Mungu

Sasa kusema wewe n mtu wa Mungu kwa lugha nyepesi Wana wanatambua watu wa Mungu wanafananaje na si hvyo tu wanajua Mungu anawataka watu wake waweje

Kuwa Nuru maana yake n kuonesha kipi Ni sahihi na kipi sio sahihi
Kwa mkrsto serious na mungu akipita mahali watu Kuna namna watakupa hata mamlaka ya kuamua nakosa yao kwa sababu wanajua wewe una neno la upatanisho

Watataka uwe kiongoz wao kwa sababu utawapeleka kwenye hatima bora
Kuwa Nuru maana yake watu wenye matatzo yao wakikuona wewe wanaona majibu na suluhu za matatzo yao

Na hiyo yote n matokeo ya lile neno la Mungu ambalo limekujaa moyoni mwako

Nisikie kwa makini mtu wa Mungu
Neno la Mungu likikaa ndani mwako umebeba Mungu mwenyewe nazungmzia neno liliko moyoni mwako na linakuongoza kwenye kila Jambo linalohusu maisha yako
Neno la Mungu linamuelezea Mungu!
Unachosoma kwenye neno ndicho hasa kinacho muelezea uhalisia wake Mungu
Hakuna tofaut hata kidgo kidgo kati ya neno lake na yeye mwenyewe
Hakuna kabisa

Isaya:55.8
Maana mawazo yangu si mawazo yenu, wala njia zenu si njia zangu ; asema Bwana
Isaya:55.11
ndivyo litakavyokuwa neno langu, litokalo katika kinywa changu; halitanirudia bure, bali litatimiza mapenzi yangu, nalo litafanikiwa katika mambo yale niliyolituma .

Embu jarbu kusoma bolded words peke yake

Utagundua Kuna namna mawazo ya Mungu baba ndyo maneno yake haswaaa

Na si hvyo tu lakni piah ndyo mipango yake juu ya watu wake
Kwa mantiki hiyo neno la Mungu Ni utendaji kazi halisi wa Mungu
Kuna mtu anajiuliza kivipi

Naana yake ni kwamba kama wazo lake aliliwaza kama Mungu akalichakata kama baba uwe na uhakika amelithibitisha mpaka analileta kama Neno sio mchezo mchezo lazima liwe alivyosemaaa
Mungu wetu n Mungu wa viwango hawezi kuwa na wazo akalichakata alafu ety lisitimie sio Mungu ninaye mjua mimi

Kile alichosema lazma kiwe alivyosema
Kwa maana hiyo ndan ya neno la Mungu Kuna wazo la Mungu
Na wazo la Mungu ndyo mapango alio nao kuhusu wewe na mm
Huo mpango ndo maisha yenyewe sasa

Sasa kuishi ndan ya wazo na mapngo wa Mungu unashindwaje kuwa Nuru unashindwaje kuonesha direction kwa ulimwengu unashindwaje kuwa chumvi yenye kuleta radha kwa dunia

Kuna Jambo Moja nataka ulijue hapa
Nmegundua waAfrica wengi Sana wako na hofu za ajabu wanawaogopa vitu ambavyo hata havitakiwi kuviogopa
Unakutana na mtu akikutana na mzungu pengine kamzungu hako n kapagani anaanza kujing'atang'ata wengine hata kuongea nae hawezi na una Mungu ndani yako na unajiita Nuru ya ulimwengu
Mm nilifanya uamuzi sitamnyenyekea mzungu ila mzungu atakuja kutafuta solution kwangu

Jaman embu tukumbuke umebeba neno la uzima iliyo nuru ya ulimwengu ndani mwako
Kama kingeereza chako cha kuunga unga tembeza ivo ivo kama huwezi chochote mwamabie Jesus loves you and you need Jesus inatosha

Hawajajua haki yao kimaandiko
Ngoja nkutazamishe jambo jingine
Biblia inasema hivi

Zaburi:107.20
```Hulituma neno lake, huwaponya, Huwatoa katika maangamizo yao``` .

Zaburi:103.20
Mhimidini Bwana, enyi  malaika zake, Ninyi mlio hodari, mtendao neno lake, Mkiisikiliza sauti ya neno lake.

neno la Mungu ndilo limebeba amri ya Nini malaika zake wafanye na Nini wasikifanye
Unapokuwa na neno ndani yako unakuwa na Nguvu ya kuleta matokeo makubwa kwa sababu mbingu yote inakupa sapoti kikamilifu

Ndani ya neno la Mungu Kuna Kila kitu ambacho tunahitaji juu ya maisha yetu
Watu tunataka tu kufarijiwa naa watumishi watutabirie tuuy alafu hatuna neno kabisa huku ndani
My friend huna touti na mtu ameenda kwa mganga
Nataman uwe unalichimba neno liwe lako hate mtumish akisema umebarikiwa unaelewa maana yake nini

Hata Kama mtumishi hajamaanisha kwako linakuwa na matokeo makubwaaa
Kula neno
Kula neno
Kama unataka kutembea na viwango vikubwa kwa mwaka wako mpya neno liwe mstari wa mbeleee
Usikae kizembe zembe bhb
Wewe n nuru
Chumvi
Majibu
Daraja
Huwezi kuwa yote haya alafu umekaa kizembe zembe tuuy husomi neno husomi vitabu
Umekaa hapo unasubir mwaka huu mtumish atasema n mwaka wa ukuu

Sawa yaweza kuwa n mwakaa wa ukuu
Ila si kwa kubweteka ivo
Utakuwa n mwaka wa ukuu kwa wakuu wanaotafuta neno la Mungu kwa Nguvu zote
Hutak mafundisho hutak kujifunza unataka tu kuhama hatua kivipi sasa mtu wa Mungu?

Tuna vuna tulichopanda
Unataka hayo yote yaliyo ndani ya neno la Mungu yawe maisha yako ya kila siku lazima uchukue hatua ya kujifunza na kutafuta maarifa kila leo

Mfano tunaelekea mwaka mpya sasa
Kinachofanya mwaka uwe mpya ni Nini?
Maana utakuta nyumba yenu ipo pale pale haijahama
Utakuta wingu na jua n vile vile si kwamba vitaanza kutoa moto
Ardhi n ile ile si kwamba itabadilika kuwa dhahabu
Mwaka mpya n Nini sasa
Mwaka mpya unakuja pale unapogeuzwa mfumo was kufukir kwako

Unapobadilishwa mtazamo wako
M nakwambia Kuna watu weng Sana tutawaacha 2019  japo watakuwepo 2020 lakin watakuwa n watu wa 2019 bado kwa SABABU mentality zao bado zipo pale pale
Anza kule neno la uzima kwa bidiiiiiiii Sasa usiseme nitaanza kesho au mwaka mpya
Anza muda huhuuu

No comments: