Popular Posts

Wednesday, October 30, 2019

Kwanini unapoteza Hamu/kiu juu ya Mambo ya MUNGU (Maombi, Neno, Mafundsho nk)


Jambo la kwanza nataman ujue Kuna kiwango Cha kutumila kwa Mungu huwa c rahsi kukifikia Kama kiu yako imedumaa haiongezeki
Isaya:55.1
Haya, kila aonaye kiu, njoni majini, Naye asiye na fedha; njoni, nunueni mle; Naam, njoni, nunueni divai na maziwa, Bila fedha na bila thamani.
Matayo:5.6
Heri wenye *njaa na kiu* ya *haki* ; Maana hao *watashibishwa* .
Mtu anakuwaje na kiu ya haki mtu anakuwaje na njaa ya haki

Na anaposema wanashibishwa anataka kutuambia nn
Moja ya vitu nlivyoviona kwenye hili eneo n hili

Swala la kushibishwa s jukumu lako Ni la Mungu
Ndio maana hasemi watashiba,!
Lakn hawashibishw tuuy kitu yoyote wanashibishwa kile walicho na kiu nacho

Na swali la muhimu kujiuliza n nn kinawapa watu kuwa na kiu ya walicho na kiu nacho Ni Nini

maana Yake n kwamba Kuna mazngra ambayo huwa yanasukuma mtu kuwa na kiu na njaa ya haki

Akiwa na maana Kuna watu hawana kiu na njaa ya haki
Na Kuna uwezekano wa kuwa na njaa na kiu ya zinaa na kuwa na njaa na kiu ya upako

Hiyo sio shida kwa sababu tunayaona yapo pengne unae Soma n miongon mwao
Kwann watu wanakuwa na kiu ya mambo mengne mbal na mambo ya Mungu kwann

hapa Anasema baada ya kuona una kiu ndo uende
Kwa maana kwamba ukienda na hauna kiu haitakusaidia
Kwa sababu Shiba inayotolewa n specific na selective

Ukiona kiu ya haki unashibishwa iyo,, ukiona kiu ya upako unashibishwa iyo nk nk
No wonder waonao kiu ya zinaa shetan anadeal nao kisawa sawa
Sababu za kutokuwa na hamu ya kiu ya mambo ya Mungu
Luka:6.45
......... ; kwa kuwa mtu, kinywa chake hunena yale yaujazayo moyo wake.
Si tu kwamba kinach0 ujaza moyo uwe na uhakika Kuna mda kiliwahi kuingia
Kwa sababu hakiwez kujaza Kama kilikuwa hakiingii

Kinajaa kwa sababu Kuna mda huo moyo ulkuwa tupu bila ya hicho kinachouzaja
Kwa lugha nyepesi kunaweza kuwa na neno ndani yako lakn silo lililokujaa yaaNi halipo kwa wingi

Na ndio maana maandiko yanasema neno likae kwa wingi
Kwa maana hiyo basi

1⃣ sababu ya kwanza n kwa sababu haupokei taarifa za mambo ya Mungu Mara kwa Mara Kama unavyopokea taarifa ya hivyo vilivyo ujaza moyo wako sasA!
Yaaan unaruhusu mambo ya ovyo ovyo tuuy kuingia ndan yako badala ya Yale ya Mungu
Unaruhusu movie zishape maisha yako unaruhusu mitandao ya kijamii iyashape maisha yako
Kwa mfumo huo iyo kiu ya mambo ya Mungu huwez kuipata
Una kuwa na kiu ya zinaa kwa sababu ya tabia yako kwa asilimia kubwa

2⃣ Haujawa serious na Mungu bado ,,
Hapa Kuna mtu anaguna

Naasema ivi kwa sababu Haujawa serious na Mungu bado
yaan Mungu kwako bado n Jambo la kawaida
Mungu kwako Ni swala la ziadA Sana
Kia's kwamba hata usipochukulia maanani haikusumbui

Kwann Haujawa serious?
Kwa sababu unafikri Mungu Ni hadithi ,,,
Kwa sababu unafikri wewe n mjanja Sana kwa kuwa na likes nyingi Facebook, Instagram

Na ndio maana ukiweka picha Facebook ikawa na likes chache unateseka ndani yako kuliko hata ukishinda ibadani
Ndo maaana narudia kusema bado Haujawa serious na Mungu

3⃣ Hauna mwelekeo wa maisha yako binafsi
Maisha yako ya kila siku yanategemea matukio ya siku iyo yamekaaje

Ukiona mazngra yanasema Leo Kuna udaku unabishaniwa kwa mtandao unakaa huko siku nzima

Ukiona Kuna watu wanafanya hiki na wewe umo nao siku nzima

Hujaweka mipaka ya siku yako iweje na nn ukifanye na kipi usikifanye

Haujui unakoenda haujui unakotoka

Haujui unataka Nini maishan mwako

haujui hautak Nini maishani mwako iyo kiu ya Neno na mambo mengne ya Mungu inatoka wapi kama si kuleta utani huko